Sunday, June 14, 2009

Watawala wa Afrika: Nani Baba Yao?

Wala usimtafute mbali. Huyu hapa.

2 comments:

Anonymous said...

Kwa kweli sikushangaa kumwona aliyeshika namba moja, ila wengine nilikuwa sina hakika wamedumu madarakani kwa muda gani, kama huyo wa Tunisia. Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza wengine kama Nguesso, Nguema, Dos Santos, M'biya nk wamedumu kipindi kirefu kwa ajili gani hasa, eniwei, watakuwa wanawaongopea wananchi wao kuwa vyama vingi na kubadilisha kiongozi mkuu wa nchi ni hatari na chanzo cha machafuko, na wananchi wote waseme 'amen'.
Mi nadhani ukiwa madarakani muda wa zaidi ya miaka 8 - 10, nafsi yako ikuhukumu kuwa unahitaji kuwapa wengine nafasi ya kujaribu kurekebisha ambayo umeshindwa na kujaribu mapya. Jamii hubadilika na inahitaji mwingine kushika hatamu. Kubakia madarakani bila kuwa na kikomo inachangia pia uzembe kwa kutokujali kwani huna wasiwasi wowote wa kipindi chako kuisha, hivyo unaweza kuahirisha mambo na kufanya unapotaka bila kujali muda.
Hii ya Afrika nayo ni aina yake.

Yasinta Ngonyani said...

Hii ndio sababu kunakuwa hakuna maendelea huwezi kuwa madarakani maika yote hii. Itakuwa sawa na hakuna kwani utaona kazi yako ni kama kawaida hutaitilia mkozo.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'