Sunday, August 12, 2007

CCM inaandaa mapinduzi?

MAISHA magumu, kauli na uamuzi tata wa viongozi, mwafaka usiofikika? Vinatupeleka katika mapinduzi mengine? Hilo ndilo swali lwa wiki hii. Soma hapa.

2 comments:

kemi said...

CCM watajipindua wenyewe kwani wanadhani kuchelewesha muda ni dawa ya matatizo. wakumbuke yaliyowapata AP hadi wakaamua kushika mapanga. Naona sasa CCM wanaandaa magaidi katika suala la Zanzibar.

Siriha said...

Jakaya and his party are playing delaying tactics with the muafaka initiative;the Zanzibaris [cuf] are not stupid but preparing for an opportune time to say 'unough is enough" and that will be the end of the ccm song of 'amani na utulivu" for poor Tanzania !!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'