Sunday, August 05, 2007

CCM, Tanzania: Kipi Bora?

Toa maoni yako.

4 comments:

Anonymous said...

mimi naona swali lako nila kitoto sana.mbona ulisha lijibu kwenye makala yako kwenye mtanzania daima?maana haihitaji elimu yeyote kujua kuwa tanzania kwanza halafu ndo vikundi vingine iwe ni chama,kikundi cha akina mama au taasisi nyingine yeyote iliyoko ndani ya tanzania ina fuata. according to machiavelli (the prince)"the state is superior to every one". uliza maswali ya maana!!

John said...

HAPANA. nGURUMO HAJAULIZA SWALI LA KITOTO, KWANI KWA WAANDISHI SWALI LOLOTE, HATA LINALOITWA LA KIJINGA NI LAZIMA LIULIZWE ILI LIJIBIWE. KAMA UNAVYOSEMA, YEYE ALIWAHI KULIJIBU LAKINI HAPA ANATAKA MAONI YAKO WEWE NA MIMI, YAANI WASOMAJI.

INAWEZAKA MSIMAMO WAKE SIYO MSIMAMO WA WASOMAJI WA BLOGU HII. VILE VILE SIONI KOSA KWAKE KURUDIA SWALI HILI KWA SABABU KINACHOENDELEA NDANI YA SYSTEM KINAZIDI KULICHOKOZA NA KUTAKA TULIJADILI.

KAMA CCM WANGEKUWA WAMEACHA KUKITUKUZA CHAMA CHAO KWA GHARAMA YA TAIFA LETU, NADHANI HAPO NGURUMO ANGEKUWA AMEKOSA

MASWALI NYETI KAMA HAYA YANAPSWA KUWA YANARUDIWARUDIWA NA KUTUFIKIRISHA SANA NA SANA. AU NA WEWE NI MMOJA WAO? MBONA WAO HAWAACHI KILA SIKU KUIMBA "AMANI NA MSHIKAMANO"? KWANI SI UPO? WANATAKAKUTUJZA PROPAGANDA ZAO KILA WAKATI.

ZAIDI YAHAYO KUNA MASWALI YANAITWA RHETHORIC, MAJIBU YAKE YANAJULIKANA, LAKINI YANAULIZWA ILI KUWEKA MSISITIZO.

JIBU LANGU: TANZANIA.

Siriha said...

Swali lako ni la msingi kwa yeyote anaeelewa ulikuwa unalengo gani. Si kila mtanzania anaetambua kuwa Tanzania kwanza CCM nyuma; ingekuwa wabunge wetu wanajua hilo wasingekuwa wanapiga kura zao kuhujumu Taifa lao.Mimi nilitarajia kama kweli wanaipenda nchi yao,wangeunga mkono hoja binafsi ya Zitto ili tume iundwe kifichua ufisadi wa Karamagi alioanza nao toka alipokuwa anauza cement Wazo Hill!! Swali lako sahihi kwani watu wengi make the wrong assumpttion that everybody is patriotic!!! Hawa wanamtando maslahi ni wezi tu hawana itikadi wala uzalendo.

Manase said...

siriha, umesema kweli. Hawa wanamtandao lazima waondoke kwa nguvu maana ustaarabu wetu wameuchezea> hatuwezi kuacha nchi itawaliwe na wasanii, nasi tunakodoa macho na kulalamika pembeni.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'