Thursday, August 30, 2007

Maisha Bora


Nimeipenda katuni hii ya Maosud 'Kipanya.' Wewe je?

3 comments:

Suzy said...

One of the best cartoons of our time. I hope President Kikwete will read it and get the message. This is what people are thinking of his election promises! No relief achieved from them. Haya ndiyo maisha bora!

Jose said...

Taratibu, ujumbe unakwenda, na bila shaka unafika. Tuombe Mungu. Hongera Kipanya!

Siriha said...

The truth is that life to an ordinary Tanzanian is worse off than when Mkapa left office. Hawa wasanii badala ya kuendeleza mazuri ya Mkapa wanayaponda mfano mzura ni wale ambao Ikulu ya Mkapa iliwafukuza kazi kwa ufisadi wenzetu hawa wanawakumbatia na kuwapa uwaziri kwa kigezo cha uanamtandao!! Kwa mtindo huu maisha bora kwa wote ni arinacha tu na ndivyo isemavyo katuni ya Masoud!!!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'