Tuesday, January 08, 2008

Asanteni

Kwa unyenyekevu mkubwa, nawashukuru walionipendeza kwa tuzo hii ya Excellence in ICT Journalism katika Afrika. Siwajui, wanajijua. Nawashukuru na majaji walionipigia kura. Asanteni!

3 comments:

Samson said...

Hongera kaka! Kumbe hata kwenye ICT umo, mie nilidhani we mkali kwenye uchambuzi wa siasa tu. Hongera umetukomboa Watanzania...

Anonymous said...

Hongera mwanangu, kaza kamba nakuaminia.

Anonymous said...

hongera kw uchambuzi wako wa kina, endelea kuwafungua macho Watanzania.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'