Friday, January 25, 2008

Tabasamu hili linaficha nini?


Kenyan embattled President Mwai Kibaki shakes hands with ODM leader Mr Raila Odinga at Harambee House, Nairobi, on Thursday. Picture by Govedi Asutsa. Source: The Standard Online, January 25, 2008. But mistrust still reigns. See here: 00. 01. 02. 03 04. 05. 06. 07. 08. 09. 10.

2 comments:

Anonymous said...

Sasa wajeuri wanafurahi kwamba wamewamanipulate watu wakauana sasa heti wameelewana.
Mpaka lini watu tuchezewa hivi kam vijimambo.
Kuna mkono wa mtu hapo, watu hawawezi kufa hivi halafu washikane mikono hivyo.
Hawa ndio maadui wa uhuru.
Waliyafanya ya kutisha ktk nchi hizi kwa kuwaweka kwenye madeni makuu. Je sisi wabongo watatufanyaje???
http://www.prothink.org/2007/12/jewish-role-in-african-slave-trade_29.html,
http://video.google.com/videoplay?docid=-1583154561904832383,
http://video.google.com/videoplay?docid=-7336845760512239683
Haya shime hebu tueneze ukweli huu.

Anonymous said...

Ngoja tuone, tuwape muda kidogo tutajua kinachowafanya watabasamu sasa...naamini mambo ya Kenya hayawezi kuwa kama ya Zanzibar.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'