Tuesday, February 13, 2007

Mbiki Shujaa

Mrembo Mbiki Msumi ameamua kuwa shujaa. Apongezwe; aungwe mkono. Soma hapa.

1 comment:

Anonymous said...

Unajua mie nasoma sana makala zako,wewe umesha kuwa mtumwa wa chadema na mbowe,umechukilia chadema kama chama bora kuliko vyote na bwana wako mbowe kama ni kiongozi bora kuliko wote,hivi wewe ngurumo unafikiri kila anaesamoma makala ni matahira?
Tunakubali ccm ina mapungufu serikali yake ina mapungudu je chama chako cha dema na bwana wako mbowe ni malaika?
Sijawahi kuona hata makala yako moja ikimkosoa mbowe au chadema?
Inae kosea ni ccm tu?
Ukitaka kujua chama chako(chadema?kimekufa temebelea mikoani!Hakuna chama!Bwana wako mbowe kazi yako kukukosoa serikali na ccm chama chake kimekufa mikoani,hao ccm mnao wasema anagalia wanavyo endesh vyama vyao hata kama wana uwezo wa kufanya hivyo,lakini chadema wanatakiwa waonyeshe mfano ,upo huko Uk na bwana wako mbowe mnajifanya mnakosoa serikali as if chadema ni cha kinacho ongozwa na malaika ,na kama ushabaiki wa kushabikia chama hilo zaidi!!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'