Friday, March 09, 2007

Eti Pombe ina homoni za kike?

Hii imenifikia katika mzunguko wa kutumiana meseji za utani, nikaona niiweke hapa kwa faida ya wasomaji. Nadhani huu ni utani tu, usioweza kusababisha ugomvi kwa wanaharakati wa jinsia.

Last month, National University of Lesotho scientists released results of a recent analysis that revealed the presence of female hormones in beer. Men should take a concerned look at their beer consumption. The theory is that beer contains female hormones (hops contain phytoestrogens) and that by drinking enough beer, men turn into women. To test the theory, 100 men drank 8 pints of beer each within an hour period. It was then observed that 100% of the test subjects:

1) argued over nothing.
2) refused to apologize when obviously wrong.
3) Gained weight.
4) Talked excessively without making sense.
5) Became overly emotional.
6) Couldn't drive.
7) Failed to think rationally
8) Had to sit down while urinating.

No further testing was considered necessary.

3 comments:

Anonymous said...

Du! Hii kali!

Said Jembe said...

Haya wanaume, zinyweni, lakini mjue mtageuka wanawake.

Kidanka said...

Mimi huwa mgumu sana kucheka. Lakini kwa hii, hasa ile dalili ya mwisho, nimecheka mpaka basi

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'