Tunahitaji kujua kwa sababu hatujui; na hatuwezi kujua kama hatujui kwamba hatujui...Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi. Na kadiri tunavyojua, ndivyo tunavyogundua kwamba hatujui...
Sunday, March 11, 2007
Wimbo wa Afrika Mashariki: Tusimwonee Waziri
Waziri Seif Khatib hajatunga Wimbo wa Afrika Mashariki. Imekuwaje alaumiwe? SOMA HAPA.
5 comments:
Anonymous
said...
Nakukubali Ngurumo. Uchambuzi wa kina huo. keep it up!
Unadhani kikiingia chama kingine madarakani lazima kinakiri mbinu na mifumo ile ile ya utawala ya CCM? Wizara hiyo inaweza isiwepo lakini kazi zake zikatekelezwa kwa mfumo mwingine.
Wakati mwingine ni vema tukaendelea kuandika na kuelimisha jamii kuliko kukimbilia vyeo serikalini. Vinalevya! Na mara nyingine wala havipatikani.
Kumbuka orodha ya waandishi waliokuwa wanasubiri kupewa vyeo na JK. Wameishia kupewa mshiko kuandika 'vijistori' vya kumpamba kwa sababu naye anajua kwamba hapo ndipo panapowafaa! Ole wao wanaosubiri vyeo. Mimi simo!
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'
5 comments:
Nakukubali Ngurumo. Uchambuzi wa kina huo. keep it up!
Kama wangekuwa wanajifunza, hapa lipo somo.
Data ali kweli kweli. Mzee unatisha. Endelea kufanya utafiti zaidi, utumwagie nondo kila j2
mbowe akiwa rais lazi akupe uwaziri wa habari na utamaduni unatisha mzee!

Post a Comment