Friday, September 24, 2010

Blogu Yaanika Mafanikio ya Kikwete

Nimeipenda tathmini hii ya mafanikio ya Kikwete 2005-2010

2 comments:

Anonymous said...

kuna fununu za kuwalipa haki zao wastaafu wa jumuhiya ya afrika ya mashariki octoba kabla ya uchaguzi. Lengo ni kupata kura zao na wale watakaowashawishi kupigia ccm. watumie chadema fununu hii wachunguze. hii ni rushwa nyingine

Stella said...

Tathmini imetulia sana. Inatoa picha halisi ya 'mafanikio' ya CCM yanayonadiwa kwa kauli tamu tamu kuwa ahadi na malengo vilivyoainishwa kwenye Ilani ya chama hicho (mwaka 2005) yametekelezwa 100%. Basi, iwapo kauli hizo ni kweli, basi mafanikio hayo ndiyo haya!

TUMELIWA!!!!!!!!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'