Wednesday, October 25, 2006

Hata Wakubwa Wanaweza Kushitakiwa

Hivi kama kila Rais Mstaafu angechunguzwa na kushughulikiwa kama huyu hapa, Afrika ingeweza kupiga hatua gani katika mapambano dhidi ya rushwa? Hatua hiyo ingekomesha wizi na kuboresha maisha ya wananchi? Je, sisi Tanzania hatuna viongozi wanaotuibia wakiwa madarakani? Tuwafanyeje wanapostaafu?

1 comment:

luihamu said...

Katika pitapita zangu nimekutana na blogu yako.tuzidi kuwasiliana mzee Ngurumo.Long live Afrika.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'