Monday, October 30, 2006

Johnson Mbwambo je?

Anaandika kwa unyenyekevu mkubwa. Lakini hoja yake ni kali kweli kweli. Anajua kuna wanaotumiwa bila kujua. Anawajua. Anawaonea huruma; ama wao au vizazi vyao. Angependa wajitambue, wajirudi sasa. Warudi kazini kwao. Ni mpole, makini na muwazi. Msome. Huyu hapa.

1 comment:

Anonymous said...

namheshimu mbwambo kwa maoni yake yenye kuibua hisia. sina hakika kama bado ni mwanahisa katika magazeti anayoyaandikia. je, tayari mapungufu yaliyopo kwenye kampuni ya magazeti anayofanyiwa, yameshughulikiwa?

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'