Saturday, February 17, 2007

Sijanuna; natafakari

Usitazame glasi. Mtazame huyo anayekutazama, mwenye glasi. Unaweza kumtambua katika picha ya pili? Hiyo ilikuwa Novemba 11, 2006 baada ya mkutano na mafunzo ya uandishi wa habari za sayansi ulioandaliwa na kudhaminiwa na Shirikisho la Waandishi wa Habari za Sayansi duniani (WFSJ), 4-10 Novemba, 2006 Nairobi, Kenya. Nilirejea UK kesho yake. Washiriki wengine, katika matukio tofauti, wapo hapo chini. Picha kwa hisani ya WFSJ.






2 comments:

Anonymous said...

Huna lolote unajifanya mjuaji msomi mchambuzi kila mtu taahira!Wenye akili ni wewe na Mbowe kila mtu kwako mjing wewe tu mwenye uzalendo huna lolote kiburi kinakusumbua, hata blog yako haina hata wachangiaji anaglia blog za michuzi mjengwa nk yote kwa sababu ya kibri chako

Anonymous said...

Picha tu inaonyesha ni jinsi gani huyu ngurumo anavyo ringa na majivuno,watu wengine wa ajabu kweli

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'