Sunday, March 11, 2007

Mbona tunalaumiwa hivi?

Soma hapa

3 comments:

Anonymous said...

Ngurumo, sio mnalamiwa. ndivyo jamii inavyowaona. waandishi wa tz mnaaibisha taaluma. sijui jk amewapa nini? msipomkosoa nyie jamii itafanyaje? matakapomshabikia yeye hata katika makosa, itakuwaje walio mbumbumbu? Mmezidi bwana, acha huyu bwana awaseme.

Anonymous said...

Waandishi wa Tanzania,wengi wao wamenunuliwa na chama cha Tawala,isipokuwa Ngurumo yeye yupo chadema yeye huwa ana kosoa ccm na serikali yake,ila chadema haiwezi kukosoa hivyo ndivyo walivyo waandishi wa Tanzania

Anonymous said...

Wewe mpuuzi unayesema Ngurumo amenunuliwa na CHADEMA. Inaonekana humjui Ngurumo, au umeanza kusoma makala zake juzi juzi, ulipokuwa umelewa 'umtandao.' Sisi tunaomjua Ngurumo tunajua msimamo wake. Hata kama angekuwa anaipenda CHADEMA, ni Mtanzania mwenye haki ya kufanya hivyo, ilimradi awe na sababu. Kumlaumu Ngurumo eti kwa kuwa anaikosoa CCM yako ni kuonyesha usivyomfahamu, na usivyo na hoja. Kama unaweza na wewe jenga hoja uitetee CCM. Kama unadhani Ngurumo anasema uwongo dhidi ya CCM, andika uonyeshe ukweli wa CCM ni upi. Watanzania wa leo si wa jana. Waoga na wajinga wamebaki wachache, wanaoshabikia mambo bila kuyatafuna kwanza. Haishangazi sana maana mfumo wetu wa elimu hauturuhusu walal hautufundishi kufikiri independently. Tunabaki kuamini authorities. Na wengine wanaponzwa na njaa zao, wanakwepa ukweli makusudi, wasiwaudhi wakubwa, wasije wakakosa mkate. Hii ni njaa, na haiwezi kutuletea heshima, hata ndani ya nafsi zetu. Unapokutana na watu kama Ngurumo unapaswa kuwahsukuru na kuwahimiza waendelee kuonyesha upande mwingine wa yale yanayosifiwa na watawala huku yakiwa hayajafikia viwango. Ndani ya sifa hizo ndimo taiga linaloharibikia. Inawezekan kwamba na mpuuzi huyu ni sehemu ya watuw anaoficha maovu yao nyuma ya u-CCM? Ushabiki gizani! Apewe pole. Ngurumo, usikate tamaa, endelea kuunguruma.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'