Tuesday, January 29, 2008

Kofi Anna bado amekwama Kenya

Ufumbuzi wa mgogoro Kenya bado ni mgumu. Mauaji yanaendelea, huku Mwai Kibaki na Raila Odinga hawajakubaliana mahali pa kuanzia mazungumzo, bado wanashitakiana kwa mauaji ya kimbari. Na kwa mara ya kwanza, mwansiasa, mbunge wa upinzani kauawa na kuibua ghasia mpya. Wakati huo huo, jamii inaendela kumshinikiza Kibaki ajitoe mhanga kuleta amani. Sasa Kofi Annan na timu yake ya wapatanishi wametoa ajenda ya mjadala wa usuluhishi. Itakubalika sawa kwa pande zote?

6 comments:

Anonymous said...

Kama atakwepa kuzungumzia kiini cha ugomvi wao, akaogopa kumwambia ukweli Kibaki, Annan atakwama tu. Dawa ni Kibaki kuoondoka kwanza, halafu mjadala uendelee.

Anonymous said...

Matokeo ya kura za urais Kenya yalikuwa ni kisingizio tu cha deep rooted grievances za wananchi ambazo serikali imekuwa ikizifumbia macho.Matatizo ya mgawanyo wa ardhi, unequal distribtion of resources among regions, increased poverty levels which relate to lack of employment especially among the youth na pia ukabila kwa kiasi fulani. Ili kumalizo mzozo huko Kenya one should look at the big picture and address the totality of all the root causes of the problem as enumerated above.

Ansbert Ngurumo said...

You are right Mr, Anonymous. And that explains why most voters apparently wanted CHANGE. This is part of what they wanted changed; and probably at the end of these negotiations kenyans will start a process to that effect.

Anonymous said...

Watanzania tunajifunza nini kutokana na experience ya ndugu zetu wa Kenya? Sisi kwetu ukabila si hoja ya msingi lakini hoja ambayo ni hatari zaidi ambayo imeibuka baada ya kifo cha Mwalimu ni hii ya udini ambayo serikali ya Kikwete inaitekeleza kwa siri kubwa!! Udini ni dhana hatari zaidi kuliko ukabila na kama kweli Kikwete anaitakia mema nchi hii basi awaambie mawaziri wake wa karibu Meghji na Ghasia wateuwe watu kwenye bodi na appointments kwenye civil service not accoprding to religion but professionalism. Meghji ni culplit mkubwa kwa hilo kwenye bodi zake zote huteuwa moslems tuu!! Proof: angalia uteuzi wake bodi ya BOT. Kwa mtindo huu mama humsaidii benefector wako JK unatupeleka pabaya watu kuchinjana.

Anonymous said...

Kuna mpuuzi mmoja huko chini ameonyesha ujinga wake hadharani lakini bahati yake hakuweka anuani yake...ni mpuuzi tu, ndio hao wanaotafutwa. Angekuwa na akili angeweka jina na anuani yake ili tuwasiliane naye moja kwa moja. Enzi za Tanzania kuliwa na wahuni kama hao anaowatetea kwa kisingizio cha amani, zimepita na hatutaruhusu tena nchi yetu ichezewe hovyo hovyo. Heko Ngurumo na wenzio....

bulesi said...

Serikali ya Kikwete sio inatuhatalisha kwa mambo ya udini tu bali hata INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY is being comromised by irregular appointment of high court judges!! One of the issues fanning the crisis in Kenya is the belief by ODM that they cannot get justice in the courts because most if the judges were appointed through favouritism and not competence hence their likelihood to favour Kibaki!! AT home here there have been murmurs that recommendations of the judicial commission were ignored when the new 20 judges were appointed : many of whom were not qualified in the view of other learned brothers.Such a situation may lead to people losing confidence with the judiciary as a dispencer of justice. At least people had confidence in the retired Chief Justice Samata's court!!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'