Wednesday, July 16, 2008

Mpayukaji na unabii mpya

Viwango vya unabii wa ndugu yetu Mpayukaji naona vinaendelea kupanda. Msome hapa.

3 comments:

Anonymous said...

Huyu jamaa kiboko. Nashauri aandike kitabu ili kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo kuwa walipita watu waliokukwa wana uchungu na nchi yetu.
I am serious about this.

Anonymous said...

Mpendwa mchangiaji na msomaji. Nimepokea salamu zako toka kwa Bwana Maswali magumu.
Kitabu nilishaandika. Na siyo kimoja bali zaidi ya kumi.
Mwaka huu nilipata mchapishaji aitwaye Paschally Mayega tukakubaliana achapishe kitabu cha Saa ya Ukombozi. Ajabu baada ya kitambo akaja na ngonjera na umbea kiasi cha kuachana naye. Maana alitaka pesa zaidi ya kuchapisha.
Ila Mungu akijalia tutapata mchapishaji na siku moja mtasoma vitu vyangu.Tuko mbioni.
Niwashukuru kwa kutusoma na kutuunga mkono. Haya ni mapambano yenu na vizazi vijavyo.
Kila la heri na asante kwa mara nyingine.
Nabii Mpayukaji (MAN).

Anonymous said...

Pole sana Mzee Mpayukaji. Hukujua kuwa Paschally Mayega ni tapeli la mwaka! Angalia hata makala zake anazoandika akipigia debe kitabu chake. Kila aandikacho ananukuu kitabu chake. Bahati mbaya hata TD hawajui janja ya tapeli hili.
Mungu atakusaidia uchapishe tusome.
Kwa vile uko na Ngurumo naamini mtafika.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'