Sunday, July 06, 2008

Tufanye nini?

Hili ndilo swali kuu ambalo Watanzania wengi wanajiuliza. Hebu tujadiliane na tuanze kulijibu hatua kwa hatua. 1.xxx

2 comments:

Anonymous said...

soma comments zangu chini ya makala

Anonymous said...

Kikwete na genge lake hawawezi kukili kuwa wameshindwa kuiongoza nchi kwahiyo swala la yeye kujiuzulu halipo. CCM pia jinsi ilivyo sasa haiwezi kuchagua mtu mwingine kuwa mgombea mwaka 2010, kwasababu ya unafiki wao ingawa wanajua kuwa Kikwete kuwa Rais kwa miaka mingine mitano ni kuwauwa watanzania!!Njia zifuatazo zinaweza kutusaidia, kwanza ile mbinu ya kuwazomea hawa viongozi mafisadi ilikuwa very effective kwahiyo tuwazomee mafisadi mpaka waone vigumu kutawala na wajue kuwa hatupendezwi na utawala wao.Pili tuhakikishe kwamba ile kesi ya mgombea binafsi inakwisha mahakamani as soon as possible ili mwaka 2010 tuwe na wagombea binafsi. Ninahakika tukitumia mbinu hizi tutapata mafanikio kiasi fulani.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'