Monday, March 02, 2009

CNN wailetea Afrika programu mpya

MWEZI huu wa Machi 2009, kituo maarufu cha Televisheni cha CNN International kinaanzisha programu mpya kwa Afrika itakayojishughulisha na kutangza masuala ya kitamaduni, michezo na biashara ya bara letu katika mtazamo mpya. Habari kamili hii hapa.

1 comment:

Mzee wa Taratibu said...

Asante sana ndugu kwa kunitembelea karibu tena lazima tutembeleane na kujuana.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'