Friday, October 22, 2010

Dk Slaa 'afanya kufuru' MwanzaHii ni sehemu tu ya umati wa wananchi wa Mwanza mjini waliofurika katika uwanja wa Magomeni, Kirumba, kumsikiliza Dk Willibrod Slaa juzi Jumatano jioni.

1 comment:

Stella said...

'TUNAKUKUBALI BABA, SONGA MBELE UTULETEE MAENDELEO' Nina hakika umati wote huu ulifurika kumhakikishia Dr. Slaa kuwa wanamkubali.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'