Monday, October 18, 2010

Slaa katika picha Bukoba - KahamaDk. Willibrod Slaa akihutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama mjini Kahama, mkoani Shinyanga jana jioni.
Dk. Willibrod Slaa akisalimiana na baadhi ya watawa waliohudhuria mkutano wa kampeni zake kwenya Uwanja wa Sabasaba mjini Nzega jana asubuhi.
Sehemu ya wakazi wa Nzega wakiagana na Dk. Willibrod Slaa mara baada ya mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba.

Dk. Willibrod Slaa akihutubia katika mkutano wake wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Nzega, Tabora.

Dk. Willibrod Slaa akihutubia wananchi wa kijiji cha Mganza, Jimbo la Chato.


Akinana mama wakazi wa mji wa Bukoba nao hawakuachwa nyuma katika mkutano wa kampeni za Dk Slaa mjini Bukoba. Katika picha hii wanalea watoto wao, huku wakimsikiliza Dk. Willibrod Slaa katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa (UHURU).Dk. Willibrod Slaa akihutubia wakazi wa mji wa Bukoba na vitongoji vyake katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Uhuru.

2 comments:

Anonymous said...

safi sana wachakaze ccm mafisadi

Stella said...

Weka picha za mkutano wa Dr. Slaa akiwa Mwanza tarehe 21.10. ili wasomaji wa blogu hii wajionee wenyewe umati uliovutwa na sera za CHADEMA alizokuwa anazinadi mgombea Urais kupitia chama hicho. Sijawahi kuona, na nina hakika haitatokea katika kampeni hizi za uchaguzi watu kufurika hivyo. SIPATI PICHA!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'