Thursday, October 07, 2010

Dk Slaa akiwa Tunduma, Namanyere


Dk. Willibrod Slaa, akihutubia wakazi wa mji mdogo wa Namanyere katika Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa, akiwa njiani kuelekea Mpanda nyumbani kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Kwa mujibu wa Evarist Shija, mmoja wa maofisa wa serikali waliohudhuria, JK alipofika hapa alipata karibu nusu ya umati huu, licha ya kuwasomba kwa mabasi na malori kutoka sehemu za mbali, tena baada ya matangazo ya nguvu.


Dk. Willibrod Slaa akihutubia maelfu ya wakazi waa mji wa Tunduma, katika mkutano wake wa kampeni, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma


Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Tunduma, wakipunga mikono kumpokea Dk. Willibrod Slaa, alipowasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma.

1 comment:

Anonymous said...

Hivi hii 'SILAHA' ya ukombozi wa Watanzania inakuja lini Bagamoyo ili iwazindue wananchi kuhusu mabillioni ya pesa yaliyotengwa kwa ajili ya barabara yalivyoliwa? Dr. Slaa hujasikia tetesi za ndugu wa JK kuhusika katika mojawapo ya mkataba wa ujenzi wa barabara ya BGMY-Msata?

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'