Sunday, October 31, 2010

Dk Slaa apiga kura

Dk Willibrod Slaa ameshapiga kura nyumbani kwake, Karatu; na sasa yuko njiani kuelekea Dar es Salaam kusubiri matokeo.Hapa chini watazame Maalim Seif na Jakaya Kikwete wakipiga kura zao pia.No comments:

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'