Sunday, March 01, 2009

Kifuta machozi cha Richmond

MJADALA na mvutano unaoendelea kuhusu nia ya serikali, kupitia TANESCO, kununua mitambo ya Dowans kwa ajili ya kuzalisha umeme wa dharura, unaleta hisia mchanganyiko. Wapo wanaodhani ni mradi makini na halali kwa maslahi ya taifa. Wengine wanashtuka kwa kuwa Dowans ni dada yake Richmond, na wanadhani hii ni janja ya serikali kuwabeba akina Richmond kupitia mlango wa nyuma; kuwapa kifuta machozi kwa yaliyowatokea huko nyuma.

2 comments:

Christian Bwaya said...

Hii nchi tutangaziwe waziwazi kwmaba inagawanwa na watawala tuelewe kuliko kinachofanyika hivi sasa!

Nifurahi kusoma makala hii jana kwneye Tanzania Daima. Kazi nzuri kaka.

Anonymous said...

Bwana Ngurumo nakushauri usome kitabu cha L. Frank Baum kwenye kisa cha Mchawi wa OZ. Unayosema ni kweli. Tumesema na tutasema kama tulivyosema: nchi imeoza na inatawaliwa kilevi japo tunaitwa walevi na walevi chakari walioko madarakani wakiandaa mikakati ya kuiba pesa kwa ajili ya kuibia kura.
Nkwazi mhango

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'