Friday, June 27, 2008

Happy Birthday Nelson Mandela!


Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amesherehekea miaka 90 ya kuzaliwa, na miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Grace Machel. Bonyeza hapa umsikilize Graca akisimulia maisha yake ya kifamilia na Mandela; akizungumzia jambo moja ambao Mandela anasikitikia maishani mwake, na zawadi kuu ambayo yeye (Grace) amempatia Mandela katika miaka 10 ya ndoa yao. Lakini pia, Mandela anatoa rai kwa matajiri wa Afrika Kusini kutumia sehemu ya utajiri wao kusaidia maskini katika nchi hiyo.

2 comments:

Anonymous said...

Hongera mzee madiba. Mungu akuzidishie. Bora na Mugabe angefuata nyayo zako akastaafu mapema.

Anonymous said...

Hongera Mandela! Mungu akuzidishie.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'