Sunday, June 22, 2008

Usafi wa Lowassa, uchafu wa CCM


CCM imesafisha Lowassa. Je, yenyewe imejisafisha? Tujadili.

1 comment:

Anonymous said...

Ukweli Lowassa anaujua 100% kuwa si msafi kiivyo lakini hii yote mpaka Serikali ya CCM inateteana kwa sababu wamewekana kujuana na hili ndo linamharibia JK kwa sasa angewaweka kina Magufuli,Pinda etc etc ambao ni wachapakaji kaz haya ya EPA ufisadi usingewaumbua

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'