Sunday, June 08, 2008

Kikwete anaweza kuwa mwalimu

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekuwa mwalimu wa Rais Jakaya Kikwete; naye anaweza kuwafundisha wengine. Katika hili? Soma hapa.

2 comments:

Anonymous said...

Wana CCM jitikezeni tuokoea chama chetu, kimetekwa na mafisadi. Mwaka 2010 uwe wa mwisho kwao, tukilaza damu wapinzani wanachukua serikali.

Anonymous said...

JK akiw amwalimu atastaafu kwa heshima

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'