Wednesday, June 11, 2008

Unabii wa Mpayukaji

Mpayukaji sasa amekuwa nabii. Na anahoji. "Maiti itazikwa au la?"

8 comments:

Anonymous said...

Itazikwa

Anonymous said...

Hakiki huu ni unabii hata kama umetolewa kwa utani. Maiti lazima izikwe tu. Ikishindikana tummalizie anayeilinda pamoja na walinzi na mbwa wake.
Mpayukaji nakupa big big up.

Anonymous said...

Kaka Ngurumo huu muarobaini. Blogu yako sina wa kuilinganisha nayo kwa vitu unavyoibua.
Nimesoma unabii wa Mpayukaji. Ni kweli huu ni unabii bila shaka.
Swali je wajoli wanaposoma wanaelewa wanachopaswa kufanya?
Hata balozi wa uingereza kayaona na kutuasa tuache woga.
Kazi kwa wajoli maana Mpayukaji na Ngurumo wamewasilisha vilivyo.

Anonymous said...

Asante Bwana Ngurumo kunifungua macho.
Kweli hii kali!

Anonymous said...

Ujmbe umefika. Unabii utatimia.

Anonymous said...

Kaka Ngurumo mwambie Mpayukaji amshukie Steven Mkapa Merinyo aliyetoa mpya leo kuwa baba yake ni namba nyingine hivyo waandishi wasijisumbue kumuandika.
Kama una email yake mtumie huu unabii huenda utamfungua macho paka huyu mtoto wa fisadi kibaka Mkapa na Anna Changudoa la kichaga lililozaa na kila malaya wa kiume akiwemo Mkapa mwenyewe.
Ila wajue kuna siku tutawachoma kama vibaka.

Ansbert Ngurumo said...

Ndugu ANONYMOUS, ujumbe wako umefika na umefikishwa kwa Mpayukaji. Asante! - NGURUMO

Anonymous said...

Mpendwa Anonymous pamoja na Ngurumo, ujumbe wenu nimeupokea na nimeufanyia kazi kama wahariri wataipitisha tegemea kuisoma hivi karibuni kwenye Tanzania Daima.
Niwaibie kidogo. Ni karipio kwa mtoto wa Benjamin Mkapa aitwaye Steven ambaye kusema ukweli hana elimu wala nidhamu.
Ni muhuni hata kama ni mtoto wa mkubwa. Ni tegemezi hata kama anaishi kwenye ukwasi. Hana tofauti na mbwa alalaye ghorafani lakini bado akaendelea kuwa mbwa.
Hana bahati kwani hakusoma unabii wangu.
Ujumbe umefika na nawapongeza na kuwashukuru tuzidi kuwasiliana na kupambana na mafisadi.
Nabii Mpayukaji Msemahovyo (Njama za Mafisadi Zishindwe).

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'