Tuesday, June 03, 2008

Sometimes size matters


Nimepokea picha hii kutoka kwa rafiki yangu, nikadhani inawafaa pia wasomaji wa blogu hii. Inafikirisha na kuburudisha.

1 comment:

Anonymous said...

tunajifunza meng sana kutoka kwene picha hiyo
1.ni lazima kuwa mwangalifu kabla ya kutenda jambo,kwa kutafakari ni lipi/yapi yanaweza tokea
2.katika kila mapinduzi wapo wanaoumia na wapo ambao hukingiwa na wengine

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'