Friday, August 06, 2010

Lipumba achukua fomu za urais


Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) jana alichukua fomu kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Alisema anagombea urais ili kukuza mapambano dhidi ya mafisadi.

1 comment:

emu-three said...

Hawa ndio makafara wa upinzani, nafikiri nchi kama nchi inatakiwa kuwapa nishani ya kujitolea katika upinzani, kwani sio kazi rahisi kwa nchi hizi za kiafrika, mengi yamewapata sio siri, hata kama hawajawahi kuchaguliwa lakini wao ndio mwanzo wa upinzani nchini

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'