Picha hizi mbili zinaonyesha sehemu tu ya umati wa wakazi wa Mbeya mjini uliompokea Dk.Willibrod Slaa kumdhamini ili agombee urais 2010 kupitia Chadema (03/08/2010)
Tunahitaji kujua kwa sababu hatujui; na hatuwezi kujua kama hatujui kwamba hatujui...Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi. Na kadiri tunavyojua, ndivyo tunavyogundua kwamba hatujui...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

- Ansbert Ngurumo
- Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'
2 comments:
Mark my words, Kikwete by anyhow hawezi kupata mapokezi kama haya Mbeya neva and neva. Go Dr. Slaaaaa!
Mark my words, Kikwete by anyhow hawezi kupata mapokezi kama haya Mbeya neva and neva. Go Dr. Slaaaaa!
Post a Comment