Sunday, September 16, 2007

Je, unajua kuwa Mwalimu Nyerere alisema CCM sasa inatumia pesa za bangi kupata viongozi?

2 comments:

Samson said...

Hiyo bangi yao sasa inawatokea puani.

Siriha said...

Kama kweli wanaona wanachafuliwa majina yao bure kwakuitwa mafisadi kwanini wanaogopa kwenda mahakamani?? Kinara wao JK ameshasema kuwa wanafuata sheria; nendeni mkamshitaki Dr. Slaa, msiwe na kigugumizi.Ama sivyo sisi wananchi tutajua kuwa ninyi ni wezi tu hata kama mnakaa IKULU!!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'