Wednesday, September 19, 2007

Wonders of Mathematics

Bofya hapa uone maajabu ya HESABU - The Wonders of Mathematics. Nimetumiwa na rafiki yangu.

5 comments:

Anonymous said...

Murua kabisa. Imenifanya nipende Maths ingawa nilifeli somo hili Form IV. Ukweli nilikuwa nalimudu awali, lakini kwa sababu ya mkumbo tu nililichukia nilipofka Form III, matokeo yake likachafua cheti changu.

chemshabongo said...

duh!hii sasa kali!

Anonymous said...

Ansbert, tell your friend that "LOVE OF DOG "also adds up to a 101.

Anonymous said...

THESE CALCULATIONS PRESUPOSE THAT GOD IS AN ENGLISH ENTITY, OTHERWISE THE WHOLE THING DOES NOT MAKE ANY SENSE. THIS IS ONLY A CLEVER WAY OF MANIPULATING NUMBERS AND NUMERALS. TRY TO DO IT IN YOUR LANGUAGE AND SEE THE RESULTS.

Ansbert Ngurumo said...

I think you are right, Mr. Anonymous!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'