Saturday, September 15, 2007

Hapa ilikuwa zamu yangu


Huyo aliyeketi kwenye kiti ni Profesa Guy Berger, mkuu wa kitivo cha uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Rhodes. Ndiye alikuwa mwenyekiti wa mdahalo wetu. Ukutani ni picha kutoka kwenye Power Point presentation niliyokuwa natoa mimi. Huyo aliyesimama mbele kulia, ndiye mimi.
NETucation walinihoji kidogo na kutoa stori yao kwa Youtube.
Baadaye, AllAfrica walitoa stori yangu iliyoandikwa na Rebecca Wanjiku wa Kenya. BIZCOMMUNITY.com nao wakaitumia kwa headline tofauti.
David Musoke wa Uganda hakubaki nyuma. Sarah Bel wa APC alipendezwa na hoja yangu kuhusu haja ya kupeleka intaneti vijijini. Hii ndiyo stori yake. Mail&Guardian waliandika stori hii na kukosea jina langu.

3 comments:

Samuel said...

Ngurumo hongera kwa kutuletea hii. Macha na wenzio hongera kwa kazi nzuri mliyofanya bondeni kwa niaba ya Watz. Inaridhisha sana na kutia moyo.

Six said...

That was a jov well done.

Simon said...

HONGERA KWA KUTANGAZA JINA LETU.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'