Sunday, September 02, 2007

Makamanda wanyeshewa mvua Geita


Mvua haikuwazuia kufanya walichodhamiria. Hii ni sehemu ya umati wa waliohudhuria mkutano wa wapinzani Geita Mjini, Septemba 2).Anayehutubia ni Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe.
(Picha kwa hisani ya Joseph Senga).

1 comment:

Anonymous said...

Napenda sana kwa kazi nzuri wanaifanya Wapinzani huko Tanzania, Huu ni wakati wao kuonyesha kuwa wao ni Hasa wanasiasa kuliko Porojo za Kila siku. tena nimesoma kuwa jeshi la polisi niache ubaraka kwa CCM kwa kusema kuwa Viongozi wanachochoe , Sio Kweli. Jeshi la polisi niache Siasa na kuingilia mambo ya Kisiasa kwa kuwasema wapinzani. kama wote ni watanzania. hivyo waache kuona kuwa CCM ndio wana hati miliki ya NCHI.
Josh Michael
Marekani

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'