Tunahitaji kujua kwa sababu hatujui; na hatuwezi kujua kama hatujui kwamba hatujui...Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi. Na kadiri tunavyojua, ndivyo tunavyogundua kwamba hatujui...
Sunday, September 02, 2007
People's Power
Mbowe 'akiwachochea' wananchi kutumia nguvu ya umma kuishikiza serikali adabu.
2 comments:
Anonymous
said...
Tunapenda mambo kama haya huko tanzania. Sio kuwa na uoga wa aibu na kuogopa kuwa CCM ndio wao na Miungu watu sio kweli hata Kidogo. Josh Michael marekani
Ndugu yangu, Tanzania inabadilika. Kizazi hiki kinaamka. Serikali kama inataka kukizuia itekeleze wajibu wake. Vinginevyo, kazi aliyoifanya Nyerere imechafuliwa; kina Nyerere wapya hawakubali.
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'
2 comments:
Tunapenda mambo kama haya huko tanzania. Sio kuwa na uoga wa aibu na kuogopa kuwa CCM ndio wao na Miungu watu sio kweli hata Kidogo.
Josh Michael
marekani
Ndugu yangu,
Tanzania inabadilika. Kizazi hiki kinaamka. Serikali kama inataka kukizuia itekeleze wajibu wake. Vinginevyo, kazi aliyoifanya Nyerere imechafuliwa; kina Nyerere wapya hawakubali.
Post a Comment